LICHA YA KUANZA KUBOMOKA, HIKI NDICHO KIKOSI ALICHOITA KOCHA WA NIGERIA


Tayari nahodha Vicent Enyeama ameomba kujitoa kwenye kikosi cha Nigeria ‘Super Eagles’ kitachocheza na Taifa Stars Septemba 5, yaani Jumamosi.
Kuanza kubomoka kwa kikosi hicho kunatokana na kuitwa kwa wageni wengi sana huku baadhi ya walioachwa kama Mikel Obi na Victor Moses wakizua mjadala.
Inaelezwa Enyeama ameamua kujiondoa kwa sababu hiyo ingawa amesingizia masuala ya kifamilia. Kikosi kamili alichoita Oliseh pamoja na timu na nchi wanazotoka ni hawa hapa.

MAGOLIKIPA: Vincent Enyeama (Lille OSC, France); Carl Ikeme (Wolverhampton Wanderers, England).

WALINZI: Leon Balogun (FSV Mainz 05, Germany); Kingsley Madu (AS Trencin, Slovakia); Godfrey Oboabona (Caykur Rizespor, Turkey); William Troost Ekong (FK Haugesund, Norway); Kenneth Omeruo (Kasimpasa SK, Turkey).

VIUNGO: Joel Obi (Torina FC, Italy); Izunna Ernest Uzochukwu (FC Amkar Perm, Russia); Obiora Nwankwo (Coimbra FC, Portugal); Lukman Haruna (Anzhi Machatsjkala, Russia); Rabiu Ibrahim (AS Trencin, Slovakia).


WASHAMBULIAJI: Ahmed Musa (CSKA Moscow, Russia); Emem Eduok (Esperance ST, Tunisia); Emmanuel Emenike (Al Ain, UAE); Anthony Ujah (Werder Bremen, Germany); Sylvester Igboun (FC UFA, Russia); Moses Simon (KAA Gent, Belgium).
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment