Huyu ni mwimbaji Mrembo kutoka Mauritius aliyefanya watu waenjoy zaidi kwa kutoa burudani kwenye stage
Ni utaratibu ulioanza mwaka 2014 kwa kampuni ya Multichoice kukutana
na Waandishi wa habari/Watangazaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika
kuonyesha na kuyazungumzia kwa upana vipindi na mengine mengi
yanayopatikana kupitia bidhaa yake ya DStv.
Tamasha hili linafanyika kwa wiki nzima kwenye kisiwa cha Mauritius
kuanzia September 1 -6 likiitwa MultiChoice Africa Content Showcase
Extravaganza ambalo mwaka huu limehudhuriwa na Waandishi mbalimbali
wakiwemo wa Tanzania pamoja na mastaa kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Genevieve Nnaji, Ramsey Noah na Mr. Flavour wa Nigeria.
Moja
ya vitu alivyozungumza C.E.O wa MultiChoice Tim Jackobs ni kwamba
kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma kwa ubora na kuendeleza malengo
yake makubwa ya kuhakikisha kila mteja anapata zaidi ya matarajio yake
kwenye TV.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment