Kutana na TBT pichaz za mastaa wa soka Steven Gerrard, Luis Suarez na David Luiz wapo pia…



Binadamu hupitia nyakati mbalimbali hadi kufikia hapo alipo katika maisha, kuna wakati anakutana na changamoto lakini anapambana na kushinda, lakini wapo wanaokata tamaa huenda ni kutokana na kuangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, Septemba 3 nakusogeza na TBT picha za mastaa wa soka wakati wapo watoto.
  • Kevin De Bruyne jamaa aliwahi kucheza Chelsea bila mafanikio na kuishia kupelekwa kwa mkopo katika vilabu kadhaa na baadae kuuzwa Wolfsburg ya Ujerumani, Lakini sasa amesajiliwa na Man City kwa dau la pound milioni 54 akitokea Wolfsburg na anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ghali Uingereza.
PAY-Kevin-De-Bruyne-signs-for-Manchester-City
Kevin De Bruyne
BrfLOIdCQAEtxLs

interview-met-jonge-kevin-de-bruyne_100_1000x0
  • Anthony Martial huyu bado dunia ya soka inajiuliza kwa umri wa miaka 19 aliyokuwa nao lakini kasajii na klabu ya Man United kwa dau la pound milioni 58 pamoja na bonus, ni kitu ambacho hakijazoeleka kwa mchezaji mwenye umri kama wake kusajiliwa kwa dau kubwa kiasi hicho.
1142796-17963199-640-360
2BE7395000000578-3219385-image-a-6_1441193314787
  • Luis Suarez ametokea katika familia ya kimasikini, kuna wakati aliwahi kukiri kuwa alikuwa akicheza mpira peku peku na juani, lakini leo hii ni moja kati ya wachezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya FC Barcelona na timu yake ya taifa ya Uruguay.
luis-suarez-with-his-golden-shoe-3
article-2099525-11A7E845000005DC-68_306x423
  • Steven Gerrard alianza kucheza soka katika klabu ya Whiston Juniors na baadae maskauti wa Liverpool wakamuona na kumsajili katika Academy yao akiwa na umri wa miaka 9. Amewahi kufanya majaribio katika vilabu kadhaa wakati akiwa na miaka 14 ila haikuwa rahisi kufanikiwa kwa wakati huo, kwa sasa anacheza klabu ya LA Galaxy ya Marekani.
1637644-34750726-1600-900
maxresdefault
241522844_1154a06718_o
  • Thiago Silva na David Luiz walianza kuingia katika headlines kwa uhodari wao katika michuano ya kombe la mabara wakiunda pamoja safu ya ulinzi imara kwa timu yao ya taifa ya Brazil . Hawa walikuwa pamoja na kuota pamoja kuwa wachezaji mahiri, sasa wanacheza pamoja katika klabu ya PSG baada ya kila mmoja kuangaika katika timu mbalimbali.
525953-ad9a1cca-c840-11e4-bdbb-25549bb81a95
David Luiz kushoto na Thiago Silva upande wa kulia
LuizSilva
43
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Image caption
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment