Kevin De Bruyne na mpenzi wake baada ya kurejea Uingereza


Kiungo mpya wa klabu ya Manchester City aliyejiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani kwa dau la pound milioni 54, Kevin De Bruyne  anaonekana kuwa na furaha na maisha ya Manchester City yeye pamoja na mpenzi wake Michele Lacroix.
Kevin-De-Bruyne-and-his-girlfriend-Michele-Lacroix
Michele Lacroix ambaye amekuwa na mahusiano na staa huyo toka mwaka 2014, alipiga picha na kuiweka katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuelezea furaha yake kwa mpenzi wake kurudi tena Uingereza na kuwa ni sawa na kufungua ukurasa mpya wa mapenzi yao.
Kevin-De-Bruyne-and-his-girlfriend-Michele-Lacroix (1)
Kevin-De-Bruyne-and-his-girlfriend-Michele-Lacroix (2)
1
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment