Kaandika nini Lulu kuhusu kuulizwa Chama kipi cha Siasa anakiunga mkono kama wasanii wenzake.



 ” Okay….nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..! Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda…kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua kuitumia Kwa busara na kuifanya iwe na kwanza isiyo na majuto Kwa kutofuata mkumbo wowote wa ndugu,jamaa,marafiki au watu walionizunguka..! Tatu,Nimependa kuitumia NAFASI hii zaidi 

Kwa UHUSIKA wa ELIZABETH na sio LULU nikimaanisha ikiwa kila kura ya mwananchi wa wakawaida ni ya siri na kuuridhisha moyo wake basi na mm nitakuwa mwananchi wa kawaida kbsa katika hili..! Nne,natoa pongezi Kwa wasanii wenzangu waloweza kushiriki Kwa namna moja au nyingine ktk ku support upande mmoja au mwingine kwani wameonyesha ujasiri na mapenzi ya kweli Kwa vyama wanavyo support ILA tu mabishano ya HOJA ni mazuri zaidi na yanaweza kuepusha ugomvi au kuvunja mahusiano yetu ambayo yalikuwepo kabla ya UCHAGUZI na yatatakiwa kuendelea kuwepo baada ya UCHAGUZI..! Tano,Nawatakia Kila La kheri Wagombea wote na Natumaini Uchaguzi utakuwa wa SAWA na HAKI..! Mwisho,mimi nimejiandikisha na nina KIKATIO changu tayari,napenda kuwahimiza wananchi/WaTanzania wenzangu kujitokeza katika uchaguzi ili kumchagua yule unayeona anakufaa….tuombe Mungu na Tujitahidi uchaguzi uwe wa Amani na tuepuke maneno au vitu Vyovyote vinavyoweza kuashiria kuleta vurugu katika uchaguzi wetu Mkuu…!#MunguIbarikiTanzania#KuelekeaUchaguziMkuuOctober2015#KuraYanguSiriYangu ”
lulu 2
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment