Ungozi wa West Ham umeamua kuwa wazi kwamba pamoja na
kwamba ulikuwa unamtaka Emmanuel Adebayor kwa udi na uvumba, lakini imeshindwa
kutokana mshambuliaji huyo kuwa ghali sana.
Makamu Mwenyekiti wa West Ham, David Gold amesema
gharama ndiyo zilizowashinda.
Mshambuliaji huyo Mtogo, alitarajia kuondoka Tottenham na kujiunga na timu hiyo ya Upton Park lakini gharama imekuwa shidaaa.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos


0 comments:
Post a Comment