ANGEL DI MARIA AMPONDA KOCHA WA MANCHESTER UNITED LOUIS VAN GAAL

Nyota wa soka Angel di Maria amekosoa filosofia ya kocha wa Manchester United Louis Van Gaal na kudai kuwa alikorofishana na kocha huyo Mdachi.

Kiungo huyo wa Argentine alijunga na Manchester United kwa rekodi ya kitita cha paundi milioni 60 Agosti 2014 alishindwa kuzoea mazingira ya Old Trafford na kuhamia timu ya Paris Saint-Germain mapema mwezi huu.

Di Maria amesema ilikuwa vigumu kwake kuweza kuiva na Van Gaal ambaye ni mkorofi, jambo ambalo lilimfanya asijisikie vizuri kufanya kazi za kocha huyo wa Manchester United.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment