Mshambuliaji Mnigeria
aliyetemwa kwenye kikosi cha Nigeria na kocha mpya Sunday Oliseh kwa ajili ya kuivaa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
ametupwa kwa mkopo West Ham United.
Septemba 5, Stars
itacheza na Nigeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi ya
kuwania kucheza Afcon.
Huyo ni Victor
Moses ambaye licha ya kusaini mkataba wa miaka minne na Chelsea, lakini kocha
wake Jose Mourinho amekubali kumpeleka kwa mkopo West Ham.
Msimu uliopita,
Moses alimaliza msimu akiwa kwa mkopo Stoke City. Safari hii alirejea na
Chelsea ikampa mkataba mpya wa miaka minne lakini imeshangaza kwa kumuachia kwa
mkopo tena.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos




0 comments:
Post a Comment