faida za juice ya miwa au miwa yenyewe.





Habari mpenz msomaji wa ukrasa huu... Leo tunakwenda kujifunza faida za juice ya miwa au miwa yenyewe.
Kwanza kabisa, miwa ni jamii ya tunda ambalo hulimwa kwa wingi sehemu ya majimaji. Juice ya miwa au miwa yenyewe imejengwa na madini mbalimbali kama vile phosphorus, potassium, calcium na madini ya chuma.
Miwa inafaida nying sana kwenye mwil wa binadam. Nafkiri asilimia kubwa duniani/nchini kila mtu hufahamu kuwa miwa hutia nguvu mwilini lakini si hivyo tu miwa inafaida nyingi sana ambazo ni;
1: Hutibu saratan ya kibofu cha mkojo.
2: Hutibu saratan ya maziwa.


3: Husaidia katika utendaji kazi wa ogani mhimu mwilini kama vile figo,moyo,ubongo n.k
4. Huimarisha mifupa mwilini
5. Pia hutengeneza glucose mwilini ambayo hutia nguvu mwili.

Endapo utakuwa na swali naomba uniulize.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment